Tena ili Muungano udumu inabidi Zanzibar iwe mkoa ili kelele ziishe tuwe na nchi moja

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,973
28,480
Wakuu,

Hizi kelele za muungano kila kukicha muungano kwa watu wanatutegemea naona iwe mkoa tu tuwe na nchi moja.

Tanzania ili tusonge mbele kelele zitatupoteza na wale watakaotaka kuuvunja washughulikiwe kisawasawa wasituvurugie amani.
 
Kwani muungano lazima udumu? Hakuna kinachodumu kwa kulazimishana. Upande wa pili hawataki hii kitu ya nchi moja kiutawala. Hili liko wazi-ukilazimisha muungano utakufa kwenye mioyo ya watu na sidhani kama hilo ndo tulitakalo.
 
Back
Top Bottom