Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu
Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na...
LATRA Jiji la Dar es salaam inasemekana ipo likizo.
HALIMA LUTAVI ambaye ni kaimu mkurugenzi usafiri wa barabara , sijui kama yupo ofisini ama likizo ya masomo, kwakuwa DALADALA zinakatisha ruti...
Mt 12:35 SUV
[35] Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya.
Kile unatumia muda mwingi kukisikiliza, kukisoma, kukiangalia, ndicho kinaenda kujaza...
Picha zilizopatikana na shirika la habari la Associated Press za meli ya kitalii iliyo katikati ya mlipuko wa virusi adimu zinaonyesha sitaha (decks) zilizo tupu na maeneo ya pamoja yasiyo na...
Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya...
Waajemi msiwasogelee jamani..
Chanzo cha picha,Getty Images
Baharia wa Kitanzania amepoteza maisha wakati akihudumu katika meli ya kuvuta iitwayo VOLANS, Shirika la uwakala wa Meli Tanzania...
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale.
Kuna jambo linasikitisha kidogo, na kama ungekuwa ni wewe sidhani kama ungefurahia, mwaka jana 2025 serikali ilianzisha mradi wa kusapoti elimu yetu...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha.
Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa...
Kwangu huwa najisikia ukakasi wakati unasikiliza clip ya mafundisho ya Neno la Mungu aliyoposti mtumishi yeyote wa Mungu kwenye akaunti yake facebook au penginepo, halafu katikati ya...
Huyu Lema ndo aliyepiga simu kwa mama yake na Temba akimuuliza kama Temba yupo nyumbani au la? Alipojibiwa hayupo alikata simu na kuizima alidhania yameisha.
Biashara ya kuuwana uchagani Iko sana...
Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu...
Dar es Salaam, kama jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa nchi, linapaswa kuwa mfano bora wa usafi na upangaji wa mazingira. Hata hivyo, hali halisi inayoonekana mitaani inazua maswali mengi kuhusu...
Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF
Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya
I1li kutambua kweli kuku wanatumia...
Wajuzi wa mambo vipi, Kwema?
Hivi inakuwaje kila siku unatembea na kila ukikutana na mtu ukimsalimia haitikii wala kukujibu ni kama hakuoni shida ni nini? Hakuna shida hapo kweli?
Nyumbani kwako ni muhimu uwe na vifaa hivi, kwani vinahitajika sana.
1.Star screw drivers kubwa na ndigo
2.Flatted screw drivers ndogo na kubwa
3.Tester ya umeme
4.Plier au plaiz
5.Nyundo...
Namibia imepiga hatua kubwa ya kiuchumi kwa kulipa kikamilifu deni lake la mwisho la takriban Dola milioni 23.9 kwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Hatua hii, inayofuatia malipo ya kihistoria...
Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka...
Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa...