Baaasiiii kwiahaaaaa!Wajuzi wa mambo vipi, Kwema?
Hivi inakuwaje kila siku unatembea na kila ukikutana na mtu ukimsalimia haitikii wala kukujibu ni kama hakuoni shida ni nini? Hakuna shida hapo kweli?
mpka watu unao kaa nao nyumba moja au,majirani na marafiki zako pia hawakuoni au ni hao wa barabarani pekeake ?Wajuzi wa mambo vipi, Kwema?
Hivi inakuwaje kila siku unatembea na kila ukikutana na mtu ukimsalimia haitikii wala kukujibu ni kama hakuoni shida ni nini? Hakuna shida hapo kweli?
Labda tumuulize anaishi wapi kwanza , kwasababu tofauti na daslamu , mikoa mingine salamu ni kipaumbele cha kwanzaWatu tunamambo chungu mzima Kwa ubongo mda mwingine hata salamu hatuzisikii milio ya horn za magar na pikpik hatusikii vitu vinagonga Kwa kichwa
Yaan watu wa mikoan wanapenda salam yaan nikitoka getin had barabaran nimesalimia na watu kibaoLabda tumuulize anaishi wapi kwanza , kwasababu tofauti na daslamu , mikoa mingine salamu ni kipaumbele cha kwanza
Na usipo salimia lazima uonekane kama una dharau 😅Yaan watu wa mikoan wanapenda salam yaan nikitoka getin had barabaran nimesalimia na watu kibao
Au atume picha yake tuone muonekano wake,pengine amekaa kitapeli tapeli.Labda tumuulize anaishi wapi kwanza , kwasababu tofauti na daslamu , mikoa mingine salamu ni kipaumbele cha kwanza
Utasikia yule dada hasalimiag watu anamadharau sana 😳Na usipo salimia lazima uonekane kama una dharau 😅
Ukiwa moshi kilimanjaro hasa huko migombani , ukimpita mtu haijasamilia unaonekana una dharau watu , wapo tayari hata siku ukifa au ukipata na tatizo wasijitokeze🤣Kwanini unasalimia watu njiani? Wakikujibu salam zako unafaidika na nini?
Hii kitu ipo migombni , kuna ma Bush loya wapo tu kuangalia kama umesalimia au haujasalimia🤔Utasikia yule dada hasalimiag watu anamadharau sana 😳
Au mtu anakwambia "Ungekua unasalimia ningekwambia hili chimbo wanalo jaza chipsi kwenye sahani liko wapi"Utasikia yule dada hasalimiag watu anamadharau sana 😳