Kiukwel wa Tz tuna tatzo kubwa sana na tusipoangalia,kumbe umaskin wetu ni wa ndaaan kabsa.yaan kuna kitu lazma turekebishe kuanzia fikra za ndaaan kabsa na bila hvyo,
Hyo exposure ya maisha...
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mahakimu wa Mahakama za Mwanzo nchini kusimamia mabaraza ya kata yaliyoanzishwa kwa Shjeria yam waka 1985 kwa kuwa mabaraza hayo ni...
Ni mwaka jana tu tumetoka kwenye kumbukizi ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa letu,Mwalimu Nyerere apumzike kwa amani. Kwa asilimia kubwa,Watanzania wengi wanamkumbuka Mwalimu na kumlilia na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, imekamata mifuko 15 ya sukari ya magendo inayokadiriwa kuwa na thamani ya Sh1 milioni.
Sukari hiyo imekamatwa leo Ijumaa Februari...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, imekamata mifuko 15 ya sukari ya magendo inayokadiriwa kuwa na thamani ya Sh1 milioni.
Sukari hiyo imekamatwa leo Ijumaa Februari...
1. Travel beyond your country's borders
2. Read at least 1,000 books
3. Learn enough about the connections between places, cultures and events in history to be able to discuss them
4. Begin...
Wanabodi wakati msiba wa binti ndogo mwanafunzi wa NIT Akwilini ukiendelea "kutrend" kwa kasi ya ajabu pamoja na kwamba upande "fulani" ukijaribu kulizima hili tukio bila mafanikio..kuna Maswali...
Wana JF,
Kwenye gazeti la Nipashe leo limeripoti tukio ambalo katika hali isiyokuwa ya kawaida huko Kahama Bwana harusi alingia mitini kwenye tukio la kufunga ndoa huku Bi. harusi akiendelea na...
Hapa Mz,kwa tarehe 25 na 26 mhh,hali haikuwa kama tulivyozoea. Kumbi,mabaa,na maeneo ya wazi ya kujumuika kulikuwa na mdororo sana. Huenda hii ni ishara kuwa Kanda ya Ziwa tumeanza kujua matumizi...
Wakuuuu Habari,
Naombeni muongozo mdogo wangu alipata mkopo awamu ya kwanza umeenda sauti Mtwara, Pale anajiunga na chuo yeye ameenda kusoma sua.
Naomba kuuliza ni kweli sauti mtwara...
Mwanafunzi mmoja wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Kibohehe, iliyoko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa, baada ya kuangukiwa na ukuta.
Mwanafunzi...
Habari za kuyumuka watanzania wenzangu wa hali ya juu,
Basi nimeona leo tupitie hizi habari ambazo huwa zinakonga nyoyo zetu pamoja na zile zinazoumiza nyoyo hasa kwa sisi "watanzania wa hali ya...
Je:
Umefukuzwa BBC kwakuwa umeonekana ' unambwela mbwela ' tu?
Mkataba wako uliisha na BBC hawakutaka ' kuuhuisha ' tena?
Home sickness home ilikusumbua?
Ushindani wa BBC ni mkubwa hivyo umesoma...
Wadau,nalitizama hili swala kibiashara,
Kwanza naangalia thamani ya pesa za kigeni tuitakayopata na pia nafikiria namna bora zaidi ya kuongeza kipato cha wanachi
Serikali inaweza kuruhusu kilimo...
Habari za pilika pilika wadua.
Baada ya kupita pita sehemu zingine nikitafuta taarifa hizi, nimepata ambazo bado hazijakidhi kiu yangu hivyo ningependa kupata msaada wa haya.
Nilikuwa naomba...
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro toka jana (Alhamisi) kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko bila...