kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 747
- 790
Wakuuuu Habari,
Naombeni muongozo mdogo wangu alipata mkopo awamu ya kwanza umeenda sauti Mtwara, Pale anajiunga na chuo yeye ameenda kusoma sua.
Naomba kuuliza ni kweli sauti mtwara hawajaludisha mpaka sasa pesa bodi ya mikopo kwani mdogo wangu ananiomba pesa za matumizi kila siku kwa kisingizio hajapata pesa za awamu hio ya kwanza zingine awamu ya pili alishapata.
Natanguliza shukrani zangu za zati.