Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,655
Hapa Mz,kwa tarehe 25 na 26 mhh,hali haikuwa kama tulivyozoea. Kumbi,mabaa,na maeneo ya wazi ya kujumuika kulikuwa na mdororo sana. Huenda hii ni ishara kuwa Kanda ya Ziwa tumeanza kujua matumizi bora ya resourses ili January tuelekeze kwenye elimu.