GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,602
- 127,976
Je:
Halafu kama hutojali ukimaliza kunijibu hayo maswali yangu saba ( 7 ) nitaomba pia uniambie Je lile ' Bifu ' lako kubwa ulilokuwa nalo na Mtangazaji mwenzio Millard Ayo ulipokuwa nae Clouds fm kabla hujaenda ' mamtoni ' litaendelea au utapotezea?
- Umefukuzwa BBC kwakuwa umeonekana ' unambwela mbwela ' tu?
- Mkataba wako uliisha na BBC hawakutaka ' kuuhuisha ' tena?
- Home sickness home ilikusumbua?
- Ushindani wa BBC ni mkubwa hivyo umesoma alama za nyakati na kuamua ' kusepa? '
- Umeshawishiwa kuja Azam na Wazee wako akina Tido Mhando na Charles Hillary?
- Ukenya uliopo BBC kwa sasa ' umekukimbiza? '
- Mshahara wa Azam ya ' Tabata ' umeuzidi uliokuwa ukipewa BBC ya ' London? '