ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,381
- 4,664
Wadau,nalitizama hili swala kibiashara,
Kwanza naangalia thamani ya pesa za kigeni tuitakayopata na pia nafikiria namna bora zaidi ya kuongeza kipato cha wanachi
Serikali inaweza kuruhusu kilimo cha bangi kwa kibali maalum.Na inaweza kuhalalisha uvutaji wa bangi pia kwa kibali maalum
Tukatae tukubali,walimaji wapo,wavutaji wapo.kwa hali hiyo ni bora tukatumia kama fursa kuhakikisha tunaweza kusonga mbele.
Naruhusu mjadala mtu amtage mzee mnyapaa na mkuu wao