Habari za jioni wakuu!
Mimi ni mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya kweli na taifa letu, nimekuwa nikiguswa sana na haya matukio yanayoendelea katika nchi yetu,.
Kuna kipindi huwa natenga muda...
It is really disappointing for a big company like Zantel to fail us. I have been a loyal customer of Zantel for nearly 10 years or more, but I am disappointed because I cannot use CRDB Sim Banking...
Habari za muda huu;
Kila mtu anayo haki ya kuishi na pia anawajibu wa kulinda maisha yake.
Kwa hali ilivyo hapa nchini kwetu,kuna kila dalili kwamba serikali ama imeanza kushindwa kulinda...
1.CAPETOWN
Cape Town ni moja ya miji mizuri sana inayovutia duniani, tayari umeshashinda tuzo ya mji unaovutia kutembelea, ni mahali ambapo watu wa Afrika Kusini wanaoishi nje ya Cape Town...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wilaya ya Korogwe, Mkoa wa Tanga imekamata magunia 90 ya sukari, yaliyoingizwa nchini kwa njia za magendo #MwananchiUpdates
Habari za muda huu ndugu zanguni mabibi na mabwana(wakuu) humu ndani ya chama, poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta girisi(by mkulu voice) ili kutatua mkazo huu wa vyuma ambao...
Wakuu poleni na majukumu.
Nimekuja mbele yenu kuwaomba wale wote wanye kuhitaji ushauri kwenye maswala ya miradi na utafiti wanione.
Mimi ni mtaalamu wa maswala ya utafiti mwenye uzoefu wa...
[https://2]
MKUU wa wilaya ya Mwanga Aaron Mbogho amewataka wananchi wilayani humo kuwa wavumilivu katika kipindi hiki chenye changamoto ya uhaba wa maji hasa maeneo ya vijijini wakati serikali...
Katika hali isiyo ya kawaida nyuki wa ajabu wameibuka na kushambuliwa waombolezaji muda mfupi tu baada ya mwili wa Msanii wa nyimbo za asili maarufu kwa jina la Kalanga "Ng'wana Kolagwa"...
Habari, kwa anaye mfahamu NEEMA DISHON MAGWAI mwenye form four index No. S1436/0026 Mhitimu wa kidato cha nne GEORGE KONGOWE SECONDARY SCHOOL mwaka 2007,nimeokota original certificate zako...
Wanabodi salamu kwenu nyote
Ipo hivi wadau, leo katika mishemishe zangu hapa town mara ghafla akaja kijana wa makamo sehemu ofisi yangu ilipo kwa ajili ya kupata huduma lakini nilipomuona...
Good morning ladies and gentlemen. Pia shikamooni wakubwa zangu wote.
Leo mbele yenu nimeleta mada hii hapa jukwaani ili kuweza kuwasaidia ndugu zetu wale ambao hawajua A to Z ya mambo ya kufanya...
Polisi mkoani Dodoma inawashikilia watu 16, wanne kati yao walikamatwa na vipande vinne vya pembe ya ndovu yenye uzito wa kilo 2.450 na thamani ya Sh67.6 milioni.
Kamanda wa polisi mkoani Dodoma...
WATU wawili, mume na mke, wakazi wa kijiji cha Igosi wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe, wamekufa usiku wa kuamkia jana, mmoja wa kukatwa na shoka mna mwingine kwa kujinyonga.
Katika tukio hilo...
Please, please, please!
Never share your dreams with the losers, Why?"They will always give you 99 reasons why your dreams won't come true, but you only have a single reason to prove them...
Tanzania ni nchi yangu.Tanzania ni mahari patakatifu.Tanzania ni mahari pa utulivu na u salama.naumia ninapo sikia watu wakiizungumuzia Tanzania vibaya
Kwa sasa Tanzania hatuna shida ya...
Watu watano akiwamo ofisa wa Benki ya NBC na raia wa Burundi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kula njama ya kufanya mauaji na mauaji ya...
Vigogo watano wa madini ya Tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro na jijini Arusha, walioshikiliwa na Polisi kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, wakidaiwa...
Wakuu.
nimeona maraisi wa kenya na tanzania wameongea naomba kushauri serikali ya tanzania kuruhusu uuzwaji wa mahindi ya tanzania nchini kenya maana mwaka huu mmetutia hasara wakulima na mkumbuke...