Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Wakuu poleni na majukumu.
Nimekuja mbele yenu kuwaomba wale wote wanye kuhitaji ushauri kwenye maswala ya miradi na utafiti wanione.
Mimi ni mtaalamu wa maswala ya utafiti mwenye uzoefu wa kitaifa na kimataifa hasa hasa kwenye qualitative Research. Ninatoa ushauri kwa wanafunzi na wasio wanafunzi kuanzia pale wanapochagua topic zao za kuzitafiti, kuandaa Proposal nzima, na reporting.
Vile vile ninatoa ushauri kwenye uandaaji wa maandiko ya miradi ya maendeleo kwa ngazi zote, utelelezaji wake, na usimamizi na tathmini, na reporting.
Ada ninayochaji kwa huduma hizi inategemeana na lengo la utafiti wako, nafasi yako ( kama Mwanafunzi au mfanyakazi), ukubwa wa kazi, na mengineyo. Kwenye miradi ninachaji kulingana na ukubwa wa mradi na mdhamini anayedhamini huo mradi.
Karibuni sana ada ni nafuu inayoendana na hali halisi ya Taifa letu kwa sasa.
Kwa maelezo zaidi mtume PM au ucomment kwenye huu uzi kama unahitaji msaada nitakufwata PM kwa majadiliano.