Serikali ikishindwa kukulinda jilinde

Serikali ikishindwa kukulinda jilinde

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,370
Reaction score
4,643
Habari za muda huu;

Kila mtu anayo haki ya kuishi na pia anawajibu wa kulinda maisha yake.

Kwa hali ilivyo hapa nchini kwetu,kuna kila dalili kwamba serikali ama imeanza kushindwa kulinda wananchi au yenyewe imekuwa tishio kwa wananchi.

Siwezi sema kipi ni kipi kwa sasa ila nina ushauri ufuatao kwa wote wenye hofu ya serikali kushindwa kuwalinda.Nawashauri mchukue hatua zifuatazo:
  • Unapotoka nyumbani aga uendako na hakikisha unatembea na kitu kidogo kama vile sindano kwenye mkanda wa kiuona cha suruali yako kwa inaweza kuwa silaha nzuri ukitekwa.Unaweza pia kuiweka kwenye nywele iwapo unafuga nywele ndefu na unaweza pia kuwa na zaidi ya moja.
  • Jambo la pili ni kuepuka mizunguko isiyokuwa na lazima na pia jiepusha na siasa za wazi wazi.
  • Ukiwa mtandaoni tumia VPN na fake ID na epuka sana kuandika mambo ambayo huyaamini
  • Kama hauna panga nyumbani kwako basi hakikisha unanunua na mkuki namshale kwa ajili ya primitive war fare iwapo itabidi.
  • Fundisha watoto wako martial art na mfanye mazoezi ya viungo ili kujindaa kwa dharura
Yote kwa yote kufa kupo hivyo basi jenga tabia ya kutubu na kuweka mambo sawa na Muumba wako ili hata ukifa uwahi nafasi peponi na hawa jamaa watakokuua basi wakija wakuta we ndo mzoefu wa mbinguni.
 
Hapo kwenye kutubu ndo muhimu sana maana kifo tunatembea nancho.
 
Back
Top Bottom