Vyeti vya Neema Dishon Magwai vimeokotwa

Vyeti vya Neema Dishon Magwai vimeokotwa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,745
Reaction score
25,677
Habari, kwa anaye mfahamu NEEMA DISHON MAGWAI mwenye form four index No. S1436/0026 Mhitimu wa kidato cha nne GEORGE KONGOWE SECONDARY SCHOOL mwaka 2007,nimeokota original certificate zako nne(birth certificate,form four certificate, CBE certificate and diploma certificate) apige namba 0787497799/0713709252.
 
Tafuta contact zake katika chuo cha mwisho alichosoma utakuwa umemsaidia sana.
 
Kama ni ule ukoo wa kutetea mafisadi ya MIGA chomeni moto hivyo vyeti.

Useless to our nation.
 
Back
Top Bottom