Naleta Huu uzi kwenu ndugu zangu nikiwa na uchungu mkubwa mno.
Naweza kuthibitisha pasi na Shaka kuwa Police wa Tanzania ni maalumu kwa kulinda wanasisa wa chama tawala na kuonea wapinzani basi...
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kwa Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Sweden na Nigeria kutilia mkazo Sera ya Diplomasia ya...
"It is designed to be a superyacht tender. Until now, superyacht owners arrive at the dock aboard their 30-foot tender limos and then have to use Maybach or Rolls-Royce to get around town. The SLT...
Hawa wenzetu sijui nani kawadanganya . Wao hujiona ni wa kipekee sana. Wakati mwingine hujiona wako juu ya sheria.
Liko tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa. Nadhani umefika wakati sasa wa kupitia...
Mpango huu uliwekwa mpaka ukatengewa bajeti na jiji kwenye bajeti take ya 2017/2018. Na tulihakikishiwa ujenzi ungeanza July 2017, lakini mpaka sasa hamna kitu. Wenye taarifa kuhusu huu ujenzi...
Habari wanajf..
Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)
Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na...
Jana nilikua naangalia kipindi cha yule nabii anajiita bilionea.
Ikafika muda wa ushuhuda akaja kijana mmoja anasema yeye alikua msaidizi wa mganga na ameua watu 32 wakati anaombewa akawa...
Naombeni ushauri wenu,
Mashine ipi ni nzuri ya kuuzia umeme kati ya Maxcom na Selcom. Kuzingatia gharama yake, kushika kwa mtandao na faida wanayotoa.
Ahsanteni.
Tutake tusitake, Dola ndiyo ishaamuwa, Serikali inahamia Dodoma.
TBC inarusha hivi vipindi, tutazame, tuchukulie kama ni fursa nyingine nchini, Dodoma bado kubichi, bikra, ni sisi kwenda kutusua...
Wakuu napita Usa river hapa toka Nairobi to Dar, Kuna vita kali kati ya boda boda na polisi,. Bodaboda zaidi ya 100 wanafukuza gari la polisi.
Mlioko Usa river tupeni taarifa kamili. Polisi...
Ikiwa umebaki mwaka mmoja tu (2019) serikali kupitia wizara ya elimu kuanza kutekeleza sera mpya ya elimu kwa wanafunzi wa shule ya msingi kuanza kuishia darasa la sita na kuendelea na elimu ya...
The key, of course, is that side or rear view mirrors have a very different purpose on airplanes. They certainly aren’t for reversing, passing, or changing lanes!
Airplanes do not have a...
Mkurugenzi wa Mashtaka DPP amekata rufaa kupinga uamuzi wa Jaji wa Mahakama Kuu, Firmin Matogoro wa kukataa hati ya kuzuia dhamana ya washtakiwa Antonia Zakaria na Timoth Kilumile wanaokabiliwa na...
Wakazi wa mwambao huu wa ziwa Victoria kwa kiasi kikubwa tunachangia pato la Taifa. Kwa bahati mbaya hatuna Huduma nzuri za mawasiliano, wakati wakazi wa maeneo ya mijini na vijijini unakuta...
Ambacho kina gharama nafuu
Vifurushi nafuu
Bei nafuu
Ambacho anamudu mtu wa chini
Kina local channel zinazobaki
Kati ya startimes, continental, na ting
Kipi kina sifa hizo hapo jiu
maana nachoka...
Habari iwe nanyi wadau!
Kuna mtu nimemuona kwenye mitandao akiongoa mambo ya hovyo yasiyo na mbele wala nyuma. Nafikiri jamaa huyu anatafuta umaarufu kwa migongo ya watu, ameusoma mchezo na...
Naleta malalamiko yangu hapa. Leo hii mida huu nimekwazwa sana na dharau ambayo nimefanyiwa na muhudumu wenu ambaye anatumia namba 0713 323030, namba ambayo nimeikuta kwenye mtandao hapo facebook...
Nisiwachoshe wakuu kama mada isemavyo,kuna makundi matatu ya watu wasemao ukweli daima nayo ni;
1. Vichaa: hawa watu ukisikia wanakuambia kitu usikipuuze huwa hawana desturi ya kudanganya japo...
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewataka viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele katika kufichua na kutoa taarifa za wahalifu ikiwemo wanaojihusisha na biashara haramu ya uuzaji na utumiaji wa...