Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,824
Naleta malalamiko yangu hapa. Leo hii mida huu nimekwazwa sana na dharau ambayo nimefanyiwa na muhudumu wenu ambaye anatumia namba 0713 323030, namba ambayo nimeikuta kwenye mtandao hapo facebook.
Nimepiga ili niulizie nafasi ya siti ya bus kwaajiri ya kesho kutwa kutoka tunduma kwenda Dar.....
Cha ajabu nimepiga mara ya kwanza simu ikapokelewa ila nasikia watu wanaendelea na story na nikasema halo mara kadhaa ila sikupata mrejesho. Nikaona isiwe shida nikapiga mara ya pili,safari hii haikupokelewa kabisa na mara ya tatu hali ni ile ile.....
Sasa nataka niulize nyie kama kampuni inamaana hamtoi huduma hadi mtu aje physically ofisini kwenu?!
Maana wengine tumeshazoea kufanya biashara kwa njia ya simu nikifika siku ya safari napewa tiketi yangu nasepa.....,
Sasa tabia hii imenifanya nimejisikia kudharauliwa sana.....
Nawataka kumpa onyo kali sana huyu mfanyakazi wenu mpuuzaji wa wateja shuwaini zake.....kanikera sana.