Ukiondoa azam na dstv ni king'amuzi gani bora kati hivi vifuatavyo?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,161
Ambacho kina gharama nafuu
Vifurushi nafuu
Bei nafuu
Ambacho anamudu mtu wa chini
Kina local channel zinazobaki
Kati ya startimes, continental, na ting
Kipi kina sifa hizo hapo jiu
maana nachoka kbs makampuni ya ving'amuzi sijui yameishia wapi kuja maana tangu magu aingie ndo mwisho wa ujio wa ving'amuzi vingine
Haya maoni wadau
 
Tumia dishi la kawaida na receiver yenye uwezo wa kufungua channel nyingi ambazo ni free. Ving'amuzi vyetu bongo ni wizi mtupu , tunalipia channel ambazo kimsingi zipo free.

wataalamu watakuja kukujuza zaidi
 
Star times wapo vizuri ila sio HD, lipia azam kama uwezo unaruhusu, ting wapo vizuri pia ila channel sio nyingi sana
 
Tumia dishi la kawaida na receiver yenye uwezo wa kufungua channel nyingi ambazo ni free. Ving'amuzi vyetu bongo ni wizi mtupu , tunalipia channel ambazo kimsingi zipo free.

wataalamu watakuja kukujuza zaidi
dish lake ni shilingi ngp???
 
Ambacho kina gharama nafuu
Vifurushi nafuu
Bei nafuu
Ambacho anamudu mtu wa chini
Kina local channel zinazobaki
Kati ya startimes, continental, na ting
Kipi kina sifa hizo hapo jiu
maana nachoka kbs makampuni ya ving'amuzi sijui yameishia wapi kuja maana tangu magu aingie ndo mwisho wa ujio wa ving'amuzi vingine
Haya maoni wadau
Zaidi ya hivyo sijaona bado,zamani kilikuwepo Zuku lakini kwa sasa wameshuka sana,hasa upatikanaji wa baadhi ya channel hata kama zipo kwenye kifurushi.
 
Mkuu nunua dshi la kawaida ndo mambo yote unatumia recever ya mpg4 channel zote za bure duniani unapata
Hii ya dish la kawaida inakuaje hebu fafanua manake startimes ni ushuzi mpyabkwenye hii nchi ndg yangu.Nataka niachane na hii kwakua dstv simudu gharama hata nukta
 
Ambacho kina gharama nafuu
Vifurushi nafuu
Bei nafuu
Ambacho anamudu mtu wa chini
Kina local channel zinazobaki
Kati ya startimes, continental, na ting
Kipi kina sifa hizo hapo jiu
maana nachoka kbs makampuni ya ving'amuzi sijui yameishia wapi kuja maana tangu magu aingie ndo mwisho wa ujio wa ving'amuzi vingine
Haya maoni wadau
Kweli kwa hapa Tanzania naona only DSTV, nilianza na starTimes holaa, nikanunua Ting hola, nimenunua Azam decoder nayo soon naipiga chini wanabadilisha channel ovyoo, mvua ikinyesha mnabakia kutizamana... michanel isiyo na maana kibao daaah, hii nchi kweli wizi kila kona.
 
Back
Top Bottom