Ofisi ya DPP imekata rufaa hati ya kuzuia dhamana kukataliwa

Ofisi ya DPP imekata rufaa hati ya kuzuia dhamana kukataliwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Mkurugenzi wa Mashtaka DPP amekata rufaa kupinga uamuzi wa Jaji wa Mahakama Kuu, Firmin Matogoro wa kukataa hati ya kuzuia dhamana ya washtakiwa Antonia Zakaria na Timoth Kilumile wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi.
 
Hao ni makada na wadhamini wa ccm huko ndio kunawafaa kwa makazi
 
Back
Top Bottom