MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kulipitia haraka Jalada la kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi, na wenzake wawili na...
Wakuu.
hii serikali kweli tuiwaze kidogo mkulima anahangaika mwenyewe kila kitu , tena kwa jembe la mkono.
akivuna eti ndio serikali inajisogeza kupanga oohh msiuze nje hivi hua mnawaelewa kweli...
Daniel Obinim, also known as Bishop Obinim or Angel Obinim (b. 29 August, 1977), is a Ghanaian pastor known for self-proclaimed spiritual powers and extreme Christian practices which have often...
Jana nimemsikia kwenye TV kijana mmoja anasema alipobadili dini, mzazi wake alimkataa, na familia nzima japo yeye aliwapenda na anadai kuwapenda hadi sasa.Sasa hivi anasoma mwaka wa pili bila...
1.mkurungenzi wa vipindi na uendeshaji
2.operation manager
3.meneja wa vipindi
4.human resource manager
Kuna vitu vinanitatiza kidogo so nahitaji kujua
0 mara kila namba =0
0=imesimama kama kabla ya kuzaliwa!.
kila namba ni thamani yoyote unayojipa,uliyopewa,uhai uliona n.k
ambapo jibu linakuwa ni 0 KIFO!.
Hakuna anaefaidika na uhai wetu hapa...
Kila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! That thing which you value the...
TRENI ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Tabora kwenda Kigoma imeanguka mchana huu kati ya stesheni ya Malagarasi na Uvinza katika eneo la Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza, Kamanda wa Polisi...
Wakuu Habari za wakati huu,
Moja kwa moja niende kwenye jambo hili ambalo kwakweli limekuwa linanikera kwa muda mrefu sana.
Mtakuwa wote mashahidi wa jambo hili la kumwagiana maji wakati wa...
Tanzania ni nchi inayo endelea, hivi ikiwa ulanga tunao morogoro, chuma cha kawaida tunacho (jiwe la liganga) njombe, chuma cha pua tunacho songwe, makaa ya mawe tunayo kiwila na songea, wasomi...
Wanajamii nauliza kwa wale ambao hawajaandikisha kabisa vitambulisho vya Taifa je kuna utaratibu gani wa kumuwezesha kuandikishwa na kuwemo katika orodha ili hatimae kupata kitambulisho pale...
•Usitembelee wala kukaa sehemu ulizozea kukaa sana.
•Usiwasialiane sana na namba za simu mpya
•Usitengeneze marafiki wapya
•Zima location kwenye simu yako mda Wote wa mashaka
•Hama sehemu...
Habari wanJF,
Askofu Zachary Kakobe amekanusha taarifa ya TRA kuhusu kanisa lake la Full Gospel Bible Fellowship kukwepa kulipa kodi na kudai taarifa hiyo ni ya kisiasa. Vilevile amekana...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limesema, Serikali haina budi kuuendeleza mchakato wa katiba mpya uliokwama, kama wananchi wanapaza sauti kuuhitaji #MwananchiUpdates
My take:
Vuguvugu la...
Jana katika kazi zangu za ujenzi wa taifa nilikuwa mjini Babati katika shule ya sekondari x. Miongoni mwa changamoto zinazowakabili walimu kwa sasa ni utovu wa nidhamu kutoka kwa wanafunzi wao...
Sisi wananchi tunaoishi maeneo Kipunguni karibu na kambi ya jeshi ya kikosi cha anga airwing Dar es salaam tumekuwa tukinyanyaswa sana na jeshi letu la wananchi wa Tanzania kwa kile kinachodaiwa...
Embu tufike wakati tuheshimu hata kuogopa basi, ukitokea Massana kwenda Goba-Mbezi kituo cha Osterbay wamejibanza watatu kwenye mti, Mmoja ana nguo za kaki wawili wananguo za trafiki yaani kila...
Wasalaam ndugu TRA
Mimi kama mtanzania mlipa kodi nina haki ya kujua mapato na matumizi yanayokusanywa na serikali kupitia TRA
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano chini ya ndugu Magufuli...