Wanajamii nauliza kwa wale ambao hawajaandikisha kabisa vitambulisho vya Taifa je kuna utaratibu gani wa kumuwezesha kuandikishwa na kuwemo katika orodha ili hatimae kupata kitambulisho pale vitakapotoka? .
majibu ya kistaarabu waungwana naamini wengi wenu ni wasomi na wastaarabu sana, msaada tafadhari heshima kwenu wakuu
majibu ya kistaarabu waungwana naamini wengi wenu ni wasomi na wastaarabu sana, msaada tafadhari heshima kwenu wakuu