KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,569
- 89,206
0 mara kila namba =0
0=imesimama kama kabla ya kuzaliwa!.
kila namba ni thamani yoyote unayojipa,uliyopewa,uhai uliona n.k
ambapo jibu linakuwa ni 0 KIFO!.
Hakuna anaefaidika na uhai wetu hapa duniani hata sisi wenyewe hatufaidiki na uhai wetu!.. zaidi ya kusema unakula maisha ambapo utanenepa au utakonda lkn mwisho utaliwa na funza na hao funza watakufa,so the answer remain 0 hata kwa hao funzi loh!.
Msije kusema kwamba nawakata tamaa maana hata nisipowakata tamaa au nikiwakata the answer remain 0!.
Huo ndio ukweli mtamu!.
life has no meaning.