Ni nini Hoja ya msingi kuhusu suala la kurudia rudia !?

Bornventure

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
529
523
Kumekua na mijadala miingi kuhusu uwezo wa kurudia rudia ( round nyingi) ktk kusex . 1) je hoja hasaaa ya msingi ni ipi ktk hilo ?2) je na nani haswaa anaedai round zaidi kati ya Me na Ke? 3)Kwani mtu (ke) hawezi kuridhika akipigwa round moja ya maana? 4) Na je Me anaeweza kupiga round moja nzito (isiyopungua SAA moja na nusu) atahesabika kuwa dhaifu ?. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom