Nakumbuka utawala wa pili wa nchi ya Kenya Mtukufu Rais Daniel Arap Moi hali ya barabara pale Nairobi haikuwa nzuri sana kama ilivyoboreshwa na Rais Mwai Kibaki na kumaliziwa na Rais Uhuru...
Hakuna marefu yasiyo na ncha!
Watu wengi wanaotumia mitandao ya kijamii hasa Facebook wamekuwa wakitumika vibaya na saa zingine pasipo wao wenyewe kujua..
Yaani kwa mfano unakuta kuna mtu...
Jana tulifanya ziara ndani ya ziwa Burigi lililomo ndani ya Pori la Akiba Burigi. Tunakusudia kugeuza eneo hili kuwa eneo ambalo patafanyika Utalii wa picha badala ya ule Uwindaji.
Tunakaribisha...
Turudi nyuma kidogo.
Musiba alikuwa wa kwanza kumpinga Lisu kwamba Tanzania Si salama. Baada Ya kushindwa kumshtaki akasahau alichosema, akaja na majina Ya watu hatari. . Tena akielezea hatari...
Mh. Mnali mwenye miwani na suti ya kijivu anavyoonekana katikati ya wachezaji wa timu ya Kagera Sugar.
Huyu bwana pamoja na kukosea kiuwajibikaji alikuwa na kila haki ya kuwacharaza walimu kwani...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uchumi Mpana, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Dkt. Felipe Jaramilo katika ofisi za Wizara...
Habari za jion wana JF wote.... kwanza napenda kuwapa pole kwa uchovu wa wiki nzima.
Swali langu ni kama nilivyoandika hapo juu...
je kuna mtu yeyote ameshawahi sikia au kufahamu kuhusu moja...
BBC Redio idhaa ya kiswahili ombeni radhi kwa kutangaza kuwa madaktari 2 wa hospitali ya mifupa na mishipa ya fahamu MOI (Muhimbili) Tanzania kuwa walifutwa kazi na mamlaka husika baada ya kufanya...
ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic.
mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale...
Siku sita kabla ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, mwanamke mmoja amenusurika kuliwa na mamba wakati akiteka maji kwenye Mto Mgeta, Dakawa mkoani Morogoro, ikiwa ni madhara yanayotokana...
Wakati katika jiji la Dar es salaam vyombo vya dola vinahangaika kuhakikisha kabisa kuwa vijana wanaojiita 'Panya road' wanatokomezwa kabisa ambao ni maarufu sana maeneo ya Yombo,Buza na baadhi ya...
Four Kenyan medics have been suspended after cutting open the skull of the wrong patient at a hospital in Nairobi. One patient needed surgery for a blood clot on the brain, the other only...
Bado kuna baadhi ya watu hawaamini kwamba mtu anaweza akatoka katika umaskini wa kutupwa na baadaye kuwa bilionea anayetengeneza fedha ndefu. Wapo wanaoamini kwamba kuna watu wamezaliwa kwa ajili...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Raia wa China, Liu Xiu Feng jela miaka 20 ama kulipa faini ya Shilingi Milioni 110 baada ya kukiri kosa la kukutwa na Meno ya Simba mawili.
Hukumu...
Umewahi kuhisi huhitajiki kazini? Umewahi kuona dalili kwamba pengine ni muda muafaka kwako kuchukua hatua kabla mambo hayajaharibika?
Mwandishi Speancer Johnson aliyeandika kitabu maarufu cha...
Ni mara ya pili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali ikiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi...
Habari JF,
Baraza la Sanaa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Roma Mkatoliki kwa muda wa miezi sita kutojihusisha na sanaa ya muziki kutokana na kutotii agizo la kubadili maudhui ya wimbo wake wa...