tangazo la vodacom.

tangazo la vodacom.

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
32,086
Reaction score
39,585
ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic.

mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale matangazo ya magodoro ni ujinga sana mmefanya.
 
wewe ndo wa ajabu...nini hiki???
 
Back
Top Bottom