BASATA wamfungia Roma Mkatoliki kufanya shughuli za muziki kwa miezi 6, Kibamia champonza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari JF,

Baraza la Sanaa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Roma Mkatoliki kwa muda wa miezi sita kutojihusisha na sanaa ya muziki kutokana na kutotii agizo la kubadili maudhui ya wimbo wake wa Kibamia lililotolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

mkatoliki.jpg

Chanzo: Mo Blog
 
Sasa naye anaacha kuimba nyimbo zake anaanza kuwadhalilisha wenye vibamia, hivyo ndivyo walivyoumbwa, kama yeye ana mguu wa mtoto ndivyo alivyoumbwa na Mungu
 
Acha wampumzishe tu akajipange upya jamaa Siku izi haeleweki anaimb nini
 
Back
Top Bottom