Anayefahamu taarifa kuhusu hili Shirika. TASE & CASE

Anayefahamu taarifa kuhusu hili Shirika. TASE & CASE

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
155
Habari za jion wana JF wote.... kwanza napenda kuwapa pole kwa uchovu wa wiki nzima.
Swali langu ni kama nilivyoandika hapo juu...
je kuna mtu yeyote ameshawahi sikia au kufahamu kuhusu moja kati ya mashirika haya.
TASE (Tanzania Skills Empowerment) Au
CASE (Canada Skills Empowerment).
Na je kazi zao ni zipi? . Msaada tafadhali

Asanteh.
 
Back
Top Bottom