Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo ya nyuma yasikufanye ushindwe kuifurahia leo yako au kupanga mipango kwa ajili ya kesho yako. Hakuna ambaye hajawahi kuumizwa iwe ni maisha/ mtu / watu au hali. Kinachotofautisha ni uamuzi...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wanawake wenye utambuzi wa hali ya juu, Promotion huja kama kitu cha ziada. Mafanikio yao huja baada ya kuwekeza juhudi na bidii kuwa bora leo kuliko jana, Ili njia ya mafanikio yao ifikie kwenye...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Wakuu ninaomba msaada katika swala hili. Kama Syria pamoja na political instability waliyonayo, watu kufa kila kukicha bado wana furaha kuliko Tanzania? Au vigezo vinavyotumika kupima furaha ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Joseph Medadi enzi za uhai wake. MWANAMUME mmoja Joseph Medadi (32) mkazi wa Kitongoji cha Nyakahanga Kata ya Rusumo Wilayani Ngara, Mkoani Kagera amejiua kwa kujichoma moto ndani ya nyumba...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Dada BRANDINA GREGORY mlemavu asie na miguu na mikono ila anaandika vizuri mwanafunzi kidato cha 4 shule ya sekondari kaliua mkoa Tabora anahitaji msaada wako kwa ajili ya mahitaji yake 1. CHOO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia clip hii kiukweli kwa watoto wetu wanaweza kusubiri sana au kama wapo basi ni wachache sana kuwa na ujasiri kama huu. Na hao viumbe hawana sumu au? Ni chakula au wanafuga tu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wananchi Igurusi wilayani Mbarali waiomba Sserikali iwaruhusu kupiga ramli ili kumjua anaezalisha na kusambaza majumbani kishirikina wadudu kama papasi, chawa na kunguni sambamba na wanawake kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naona viongozi wote Wakuu wa Africa wa Kigali Rwanda na muda huu wanasaini mkataba wa Africa wa AfCFTA2018 , mkutano huo muhimu ulianza tangu tarehe 17 na leo ndio unahitimishwa kwa wakuu wa Nchi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hi wadau wangu wa jukwaa la ukweli mada inajieleza nimeipenda huyu Dada ana mvuto kweli kweli mpaka natamani nifanye remix nianzie wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la polisi mkoa wa Kigoma limemkamata daktari feki toka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Wilaya ya Kasulu ambaye amekuwa akifanya kazi za utabibu kwa zaidi ya miaka kumi katika Hosiptali...
0 Reactions
84 Replies
14K Views
Wakati wananchi wengi wakifikiri kuwa NHC inakua, inaendelea inatanuka, inashamiri na kupendeza lakini mambo sivyo yalivyo. NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano, kama...
38 Reactions
371 Replies
46K Views
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater. Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
[emoji113] Kuna mama analalamika mtoto wake wa miaka 10 hampendi na wala hana mapenzi naye. Iko hivi, Huyu mama waliachana na mzazi mwenzie(hawakufunga ndoa) wakati mtoto akiwa na miaka 2 na...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Press ya Jeshi la Polisi ikiongozwa na Mkuu wa Operation na mafunzo, CP Nsato Marijani Matukio ya mauaji yamepungua hadi kufikia matukio 235 kwa kipindi cha Januari 2018, kutoka matukio 288...
2 Reactions
160 Replies
19K Views
Wakuu habari za majukumu. Nimewaza kidogo kwanini tusiwe na ujenzi shirikishi katika miradi ya barabara..? enzi zile kabla ye enzi hizi wanakijiji walikuwa wanajitolea kutengeneza ama kuchonga...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Usafiri wa majini kwa kweli mm hunipakizi! Sijui meli sijui boti sijui ngalawa hapana mm! Watu wanapenda kusafiri kwa meli eti wanaenjoy kabisa.Tena katikati ya bahari may be Dar to Zanzbar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Arusha ni mkoa ambao kwa kiasi kikubwa watumia vyombo vya usafiri wamekuwa wakijiendeshea vyombo hivyo kiholela bila kujali taratibu za uendeshaji na hii inasababisha traffic jam ambayo siyo ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtindo mpya umeibuka ambapo kuna watu wanaandika namba za simu kwenye kuta za vyoo na hasa vyoo vya haja ndogo kwa wanaumena hususan kwenye BAA Maana yake nini?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Miaka mingi tafiti zimefanyika kwenye jamii na zimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Tafiti hizi haziwasaidii watanzania kwa kuwa hawawezi kuzifanyia kazi. Ukienda nyumbani kwa profesa yeyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha gari aina ya Scania Lori iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro Kigoma. Chanzo cha ajali, ni Dereva wa Lori kushindwa kulimudu gari wakati akishuka...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…