Asilimia 90 ya magari barabarani ni ya mkopo

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.

Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.

Nangoja kuitwa Hater .

Povu pia linaruhusiwa.
 
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata Bima Kubwa , mbwembwe kibao.
Ungesema asilimia 90 ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma ungekuwa sahihi sio asilimia 90 tu ni asilimia 99
 
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata Bima Kubwa , mbwembwe kibao.

Kutakafari na kudhania bila 'data' aka ''ushahidi'' sio uchunguzi, yaani utafiti.
 
Sasa naww si ukakope usirushiwe maji kama kupata mkopo ni rahisi namna hiyo
 
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata Bima Kubwa , mbwembwe kibao.
Mkuu tupambane tu na hali zetu wewe sema tu huna gari kama mimi. [emoji23] [emoji23]
 
Nyie ndiyo huwa mnatucheka eti badala ya kukopa fuso au coaster imuingizie hela anakopa vx, mtakalia hayohayo
 
Inabidi na wewe ukope kama unavigezo kwanza kuwa na gari siku hizi sio anasa ni moja ya vitu ambavyo MTU wa kawaida unatakiwa uwenavyo kama vile TV,redio ko tafuta nawewe sio kubaki unalialia tu
 
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata Bima Kubwa , mbwembwe kibao.
Punguza wivu kijana..,na wewe kakope ili upunguze hasira.
 
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.

Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata Bima Kubwa , mbwembwe kibao.
Kwani mkopo, hawalipi pesa, kama ni rahisi, nawe kakope tu. Ili upate mkopo ni lazima ukopesheke, na anaekopesheka jua ana uhakika na pesa.
Hata miradi mikubwa inayowaingizia fedha watu, wengine walichukua mikopo wa lala tu, uendelee kumwagiwa maji tu.
 
Back
Top Bottom