Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Usafiri wa majini kwa kweli mm hunipakizi! Sijui meli sijui boti sijui ngalawa hapana mm!
Watu wanapenda kusafiri kwa meli eti wanaenjoy kabisa.Tena katikati ya bahari may be Dar to Zanzbar.
Bora ndege au basi aisee. Juu ya maji hapana.