Tanzania vs Syria. Ipi ina furaha zaidi.

Aloyce Mkwizu

Member
Dec 19, 2016
70
53
Wakuu ninaomba msaada katika swala hili. Kama Syria pamoja na political instability waliyonayo, watu kufa kila kukicha bado wana furaha kuliko Tanzania? Au vigezo vinavyotumika kupima furaha ya nchi ni vipi. Isije ikawa furaha is directly proportional to utajiri.
Hoja zenu wakuu.
 
Hizi ni propaganda mkuu..
Bongo hata kama vyuma vimekaza lakini furaha yetu kwa kidogo tulichonacho ndio msingi wetu..
 
Inategemea na vigezo... Tz tuna miaka zaidi ya 30, hatu juwi kitu kinachoitwa VITA. Ila mfumo wamaisha watu wanaishi nizaidi ya umasikini, wakati kilakitu kipo, Madini petroli, gesi, tuna bahari inayo tuunganisha na bara la Asia, hifazi zawanyama, zaidi ya 10. Visiwa, misitu, tuna kila kitu.
 
Labda unge tofautisha TANZANIA, na inchi yoyote ya Africa iliopitia kwenye vita, leo wana inchi wanafuraha. Mfano ANGOLA, RWANDA. hawa walipitia kwenye vita kwamda wamiaka 20. Ieo wanamaisha mazuri sana.
 
nchi inaweza kuwa kwenye vita na bado ikawa na furaha?
 
Labda unge tofautisha TANZANIA, na inchi yoyote ya Africa iliopitia kwenye vita, leo wana inchi wanafuraha. Mfano ANGOLA, RWANDA. hawa walipitia kwenye vita kwamda wamiaka 20. Ieo wanamaisha mazuri sana.
Mpaka libya????? Hii mbona hatari sasa.
 
Back
Top Bottom