Jeshi la Polisi lakionya kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kwenye mtandao wa Telegram

Jemmie

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
216
285
Press ya Jeshi la Polisi ikiongozwa na Mkuu wa Operation na mafunzo, CP Nsato Marijani

Matukio ya mauaji yamepungua hadi kufikia matukio 235 kwa kipindi cha Januari 2018, kutoka matukio 288 Januari 2017 pungufu ya matukio 53 sawa na 18.%

Matukio ya kubaka yamepungua hadi kufikia matukio 588 Januari 2018 kutoka matukio 732 Januari 2017 pungufu ya matukio 144 ni sawa na 19.7%

Jeshi la polisi linawashikilia watu kumi mauaji ya kifo cha Diwani wa Chadema Ifakara. Mauwaji yale hayahusiani na siasa - Mkuu wa Operation na mafunzo

Polisi wameshakamata watu wanne mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, Daniel John

Tunatoa onyo kwa kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kupitia mtandao wa Telegram. Kitendo hicho ni sawa na uhaini. Hatua kali kuchukuliwa kwa wanaohusika, lasema wasilaumiwe

Februari 26, 2018. IGP Simon Sirro alisema Ole wake atakayeandamana bila kufuata sheria

Mnamo Februari 28, 2018. Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo alisema Kuna viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi, hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo.

Leo Machi 9, 2018 Rais Magufuli amesema Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma watakwenda kuwasimulia vizuri

Leo Machi 9, 2018 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaonya wale wote wanaotaka kuandamana katika mkoa huo na kuwaambia labda wafanye hivyo yeye asipokuwa mkuu wa mkoa
 
Press ya Jeshi la Polisi kiongozwa na Mkuu wa Operation na mafunzo, CP Nsato Marijani

Matukio ya mauaji yamepungua hadi kufikia matukio 235 kwa kipindi cha Januari 2018, kutoka matukio 288 Januari 2017 pungufu ya matukio 53 sawa na 18.%

Matukio ya kubaka yamepungua hadi kufikia matukio 588 Januari 2018 kutoka matukio 732 Januari 2017 pungufu ya matukio 144 ni sawa na 19.7%

Jeshi la polisi linawashikilia watu kumi mauaji ya kifo cha Diwani wa Chadema Ifakara. Mauwaji yale hayahusiani na siasa - Mkuu wa Operation na mafunzo

Polisi wameshakamata watu wanne mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, Daniel John

Tunatoa onyo kwa kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kupitia mtandao wa Telegram. Kitendo hicho ni sawa na uhaini. Hatua kali kuchukuliwa kwa wanaohusika, lasema wasilaumiwe.
Mbona hawakuonya lile genge la wauni lililosema watu wauwe chadema maana polisi na mahakaman ni ya kwao???
 
Back
Top Bottom