Ndugu zangu!
Sote tunataka Tanzania ikue kiuchumi, lakini kuna baadhi ya mambo wakati mwingine sioni sababu ya kupoteza fedha bila faida yeyote Kwa taifa;
Sote tunafahamu kila wizara ina fungu la...
Nchi ya China Ijumaa hii imeionya Marekani kuwa haiogopi vita vya kibiashara wakati huu ikitishia kutoza kodi ya zaidi ya dola bilioni 3 kwa bidhaa kutoka nchini Marekani katika kile...
Leo nimemuomba mama yangu aende akaombe/ ku process Birth Certificate ya mdogo wangu kwa ajili ya kujiunga chuo. Kaenda asbh na kadi ya kliniki, akaambiwa alete cheti cha form 4, akanitahidi...
Dubai ni nchi mojawapo inayopatikana bara la Asia ndani ya umoja wa falme za kiarabu(UAE).
Kilichonivutia zaidi kuandika thread hii ni kutokana na mambo makubwa ya ajabu yanayofanywa na serikali...
Nimejaribu kujiuliza katika maisha ivi ni kitu gani ambacho huwafanya watu wengi kusahau walipotokea.
Hapa nina maana mtu akitokea mtu amefanikiwa au amepata pesa huwa anasahau alipotokea...
Haya mambo yako namna gani?
Naomba tujadiliane hapa. Mjadala wetu utaongozwa na vitabu vya :-
1. Matendo 2: 17 - 19.
2. Joel 2: 28 - 29.
Kama huelewi, uliza tu watu wapo hapa tutajadiliana...
Kupaa Bwana ni ukumbusho wa fumbo la Yesu Kristo kupaa katika utukufu wa mbinguni akiwa na mwili wake mzima ambao Ijumaa kuu ulisulubiwa hata akafa akazikwa kabla hajafufuka siku ya tatu...
Ni zaidi ya miezi kadhaa sasa Benki kubwa kama hii website yake haipo hewani wala TPB CMC PORTAL tunayotumia wanavikundi kupata taarifa za akaunti za vikundi vyetu, ni nini shida? anayejua insider...
KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WANANCHI KIBAHA, KIMARA & TABATA
UBORESHAJI WA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU
Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), inawatangazia...
Habari wakuu natumai ni wazima
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya wale ndugu zetu wa damu ambao hawana dini na wanaeneza taarifa ambazo zinakataliwa na dini zote na akili salama za mtu. Wanasema...
Left Should Stop Equating Labour With Work
by Guy Standing on 23 March 2018
Guy Standing
It is intellectually excusable for those on the political right to want to restrict the meaning of work...
Dhambi ni uasi, kila lisilo jema ni dhambi, dhambi ipo isiyo ya mauti,
Watu wengi wamewaza kama dhambi haina nguvu katika maisha ya mtu, lakini ukweli ni kwamba dhambi ina nguvu saaana kuliko...
[15/01, 23:08] Baravuga hapo kipengere cha 3 ndo chenye utata tunachotaka sio dates za wao kutoa. Tunataka kujua kwanini yamechelewa?
[15/01, 23:12] Baravuga: Sababu ya matokeo kuchelewa ni...
Habari za jioni?
Nimepiga simu ya huduma kwa wateja 0717 379 696 tokea saa 11 jioni mpaka sasa haijapokelewa.
Mpaka sasa sijaelewa ni kwanini wametoa namba ya huduma kwa wateja kama awawezi...
Kiukweli Mwaka 2018 umekuwa ni mwaka ambao si salama kwa sisi wakazi wa Mbezi kwa Msuguri yakiwepo maeneo ya Bwaloni, Serikali ya Mtaa, Kaseja, Kwa Mgaya, Masaki, St. Anna, Majengo Mapya ukija...
Salam ndugu wana JF,
Hivi kuna ukweli kwenye zile siku tunazo sherekea siku zetu za kuzaliwa?
Mfano mtoto kazaliwa leo siku ya ijumaa tarehe 23 ikifika mwakani tarehe kama ya leo, siku itakuwa...
Ukiona umeajiriwa, ukachukua likizo ya mwezi, mwezi mzima ukiwa home hujapigiwa simu hata moja na mwajiri au mfanyakazi mwenzio kutaka msaada wako, mwezi mzima umekaa nje ya ofisi afu umerudi kila...
Wana Bodi
Nimelipia huduma ya usafiri kwa njia ya MPesa (wa ndege), lakini Vodacom wame freeze hiyo pesa na wananiambia "tutakujibu baada ya masaa 24". Hii sio mara ya kwanza kukutana na janga...
Mm kwa sasa nipo Mjini Singida, Naomba kujua aina na viwango vya solar za M-power ili niweze kuchangua aina na uwezo unaweza kukidhi mahitaji yangu kwani nahitaji hiyo solar,hakika hiyo Solar...
Imefikia mahali nashindwa kuelewa ni kitu gani kinalipata taifa letu - karibu kila nyanja. Naona suala la professionalism halipo tena, watu wanafanya mambo kiyeboyebo hadi unashindwa kuelewa, hivi...