Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Wana Bodi
Nimelipia huduma ya usafiri kwa njia ya MPesa (wa ndege), lakini Vodacom wame freeze hiyo pesa na wananiambia "tutakujibu baada ya masaa 24". Hii sio mara ya kwanza kukutana na janga kama ili.
Naomba niwashauri. Mnapotaka kulipia huduma za usafiri, msitumie VodaCom kwani ni wahuni sana.