Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ANGALIZO Waraka huu nautoa kama GENTAMYCINE na siyo GENTAMYCINE mwana CCM au Mpinzani na Mtani Mkuu wa CHADEMA ( anavyojulikana na wengi humu ) na nautoa huku nikimtanguliza Kwanza Mwenyezi Mungu...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia ruzuku ya serikali bila kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Amevitaka vyama vyote kuwssilisha hesabu hizo haraka kwa CAG kabla msajili hajavifutilia mbali. Source TBC!
1 Reactions
2 Replies
883 Views
Kama tu TAIFA linalomwamini na kumpenda Mungu kweli, na kama tuna Uongozi unaomwamini na kumpenda Mungu kweli, basi TUACHENI TUSEME ILI NCHI IPONE! Nimeona mashabiki wengi wa Utawala uliopo...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye amemsimamisha mwanafunzi wa chuo hicho Abdul Nondo kuendelea na masomo yake chuoni hapo hadi kesi yake inayomkabili katika...
1 Reactions
215 Replies
25K Views
Ajali mbili zimetokea maeneo ya iyovi Iringa kwa uzembe wa madereva, ajali ya kwanza imehusisha basi la kampuni ya nganga lilokuwa linatokea Kilombero; Na nyingine ya lori iliyosababisha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Niko dar es salaam hii ni wiki ya pili sasa na leo nilifanikiwa kufika manispaa ya ubungo kwa ajili ya kujipatia leseni ya biashara ninayotaka kuianzisha Nimefika pale na TIN number yangu na...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Kwanini watu wengi machachali wakipelekwa selo au wakitekwa pindi wakirudi wanakuwa wapole na ukiwatizama usoni unahisi na unaona matatizo ya kisaikolojia ya mtu huyo. 1.Roma huyu msanii alikuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mkazi wa mjini humo, Mabula Mabula maarufi Six kwa tuhuma za uporaji wa simu kwa kutumia pikipiki, kubaka na kuwapiga picha za utupu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Watanzania tunapoteza muda mwingi na kuachwa mbali sana kwasababu hatueleweki wala kujitambua tunataka nini kwa nchi yetu. 1. Siasa: Hatujitambui kwamba tunataka mfumo gani. Kuna wanao penda...
1 Reactions
0 Replies
42K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James ameshutumu vikali kitendo cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufungia kuchezwa kwa nyimbo 15 za wasanii wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habri zenu watanzania na wasio Watanzania Kwa umoja Wetu. Mwandishi wa hili gazeti anatakiwa ajitafakari sana, kwa lugha aliyotumia maana hao na wazazi wetu wa kiroho na wana maelfu nyuma yao...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana Jf. Nimefuatilia sana na kugundua kuwa wizara ya afya wanaangaika na kurukaruka kutafuta mchawi bila mafanikia wakati chanzo hasa ni wanawake. Nianze na sababu: 1. Familia nyingi zimekubwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Orodha ya Watumishi waliohamishwa MSM January Mpaka March 2018. Bofya link hapo chini. ORODHA YA WATUMISHI WA MSM WALIOHAMISHWA-1 ORODHA YA WATUMISHI WA MSM WALIOHAMISHWA-2
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Mkiona maaskofu wanawashauri na kuwakemea badala la kuchukua hatua na kutafakari makemeo na mashauri yao, na matamko ya Maaskofu hawa badala yake mnawajibu kwa vijembe vya mitandaoni na kwenya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari kwanza kabisa nawapa pole kwa mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika inayohusu hali usalama wa abiria na magari katika mkoa wa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo ni mwendo wa mahubiri ya viwanda: Kwa hiyo tujikumbushe jinsi Bwana alivyozindua kiwanda cha kwanza kule kana ya Galilaya. Ufunguzi wa kiwanda cha kutengneza wine uliharakishwa kwa vile...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF habarini za jioni hii, poleni na hongereni kwa kazi. Naombeni msaada kwa anayefahamu ni gari gani (Basi) zinatoka Dar es Salaam kwenda Lilongwe-Malawi. Kuna ndugu yangu anataka kusafiri...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Pale unapokutana na Msomi kabisa wa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( BA ) au ya Uzamili ( MA ) au ya Uzamivu ( PhD ) anapoamua kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ambaye hana hata Elimu kupata ' ndumba /...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Haya ni maji ya zamzam Hayawahi kukauka ni miaka 4000+ tangu yaanze kutumika.. kisima kinachotoa maji ya zam zam kina uwezo wa kutoa Lita 18 kwa sekunde Ni kama Lita 600+ licha ya kutoka maji...
4 Reactions
55 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…