Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,538
Wana JF habarini za jioni hii, poleni na hongereni kwa kazi.
Naombeni msaada kwa anayefahamu ni gari gani (Basi) zinatoka Dar es Salaam kwenda Lilongwe-Malawi. Kuna ndugu yangu anataka kusafiri ila hajui ni gari zipi zinakwenda huko na gharama ni sh. ngapi.
Anayefahamu tafadhali naomba anisaidie kwa hilo, ni haraka inahitajika hiyo taarifa. Asanteni.
Natanguliza shukrani wakuu.