waziri wa viwanda na buashara hata simuelewi.

waziri wa viwanda na buashara hata simuelewi.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,292
binafsi naona huyu jamaa siasa sana kuliko utendaji ni kati ya mawaziri mizigo ktk baraza la mawaziri la jpm hadi muda huu hamna anachofanya ktk serikali ya viwanda ambayo tunatarajia kupata Tanzania mpya ya uchumi wa kati.
FB_IMG_1521699427307.jpg
 
We vipi unashindwaje kumuelewa mzee wa kuchakata..
Wakati alishasema tutajenga viwanda vya nguo tuvae then tuvue tuwapelekee ulaya wavae mitumb yetu.
Hahaha mimi mwenyewe hapa tayari kuna nguo nehifadhi nasubiri tamko la waziri kutuelekeza tupeleke wapi ili zikisanywe kupelekwa ulaya kama mitumba.
Comedy za awamu hii zimefunika comedy za futuhi, mizengwe na wote
 
Kwani ni yeye tu! Mi sijaona mkweli kati ya wote, wote naona wako majukwaani wanafanya siasa/kampeni. Lakini pia huwa najiuliza nguvu yote hiyo inatumika kufanya kampeni dhidi ya nani maana wale washindani wao hawapo tena? Au ni kampeni dhidi ya watawaliwa?
 
Back
Top Bottom