Tumpe maua yake angali hai.. Tusisubiri afe ndio tuyaseme!
Jaji Joseph Sinde Warioba ni mmoja wa viongozi wachache wakongwe nchini Tanzania ambaye maisha yake yote yamekuwa kielelezo cha...
kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari...
Wataalamu wa Ardhi kutoka Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kagera pamoja na Halmashauri zake, wanaendelea na mafunzo ya kujengewa uwezo wa mfumo wa E-Ardhi ili kuongeza ufanisi katika...
RUVUMA
Wananchi nchini sasa wanaweza kupata na kukamilisha baadhi ya huduma za ardhi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi, ikiwemo kusaini hati zao bila kulazimika kusafiri hadi...
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI
KIGOMA
Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo...
LINDI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya...
Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro .
Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kutumia fursa ya uwepo wa BRELA kwenye...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewataka wananchi wa Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara kujitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Ngarenaro, Jijini Arusha, ili kupata elimu na...
Habari za jioni wana jamiiforum.
Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa.
Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti...
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Ninaomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu vumbi linalosababishwa na ujenzi wa barabara ya...
Hatimaye Google wameachia update mpya kwa watumiaji wa simu za Google Pixel ili kuondoa changamoto ya kukatika kwa mtandao.
Si unakumbuka wiki kadhaa zilizopita tuliposti makala kuhusu changamoto...
Vikosi vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema nchi hiyo imezuiwa droni ya Wahouthi karibu na Makka.
Vikosi hivyo vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema viliizuia na kuiharibu droni...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissi imeahirishwa mpaka ljumaa September 18, 2026 .
Ambapo shahidi mmoja wa mshtakiwa DCI Ramadhan Kingai kutarajiwa kuanza kutoa ushahidi...
Google yenyewe inasema โno wand requiredโ โ yaani huhitaji fimbo ya kichawi; kutumia huu mfumo ๐.
Google imeleta Harry Potter Audiobook Packs kwenye Pixel, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ujio...
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso
kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu โChakazaโ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 100) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920.
Hafla ya kuadhimisha...