Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipo kuwa kidato cha nne,siku moja mwalimu wangu wa biology alinitajia majina mawili ya watu wenye akili sana au IQ KUBWA TANZANIA KAMA IFUATAVYO 1:Baba wa Taifa Mwl Jk Nyerere (aina ubishi) 2...
4 Reactions
153 Replies
31K Views
Salamu. Nimesoma na kusikiliza kwa masikitiko maelezo waliyoyatoa familia ya Allen kijana wa miaka 20 mfanyabiashara ndogo ndogo aliyeuawa bila kosa lolote na polisi wa Mbeya. Hakuna shaka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
90% ya nyimbo za Diamond ni za kuhamasisha ngono (errotic) na hili linaweza kuwa ni kichocheo cha kuongezeka vitendo vya ngono na maambukizi ya UKIMWI. Diamond ana ushawishi mkubwa mpaka mamlaka...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
What if asingeongea lolote/kutoa tamko la wenzake kufungiwa.. Je Roma bado angefutiwa adhabu? Je tungekua tayari ‘kukaa’ na kuongea? Hail Chibu! We are thankful. #Wasafi Tukubali tu kwa sasa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge yuko jela, raia wasio na hatia wanauawa na Polisi. Uadui Na uhasama kati ya Polisi, ambao ni chombo cha serikali ya CCM Na wananchi ni mkubwa sana. Hamna professionalism ndani ya jeshi...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Wazo limenijia. Kumekuwapo na matukio mbali mbali ya kihalifu ambayo scene zake huishia juu juu bila uchunguzi wa ndani zaidi kufanyika, watu wengi wamefungwa kwa masingizio ya ushaidi,pamoja na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Tazama na usome 'twiti' ya Idhaa ya Kiswahili ya Shirika La Utangazaji la Uingereza almaarufu kama BBC. Kuna video pia ambayo sikuweza kuiweka hapa. Hii hapa: BBC News Swahili ✔@bbcswahili...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Uchumi wa Tanzania kuwa hivi walaumiwe wataalamu wa uchumi wa Kitanzania Uchumi wa Tanzania kuwa hivi walaumiwe wataalamu wa uchumi wa Kitanzania
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Tetesi: - Uchumi wa Tanzania kuwa hivi walaumiwe wataalamu wa uchumi wa Kitanzania Uchumi wa Tanzania kuwa hivi walaumiwe wataalamu wa uchumi wa Kitanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeipata muda si mrefu, kwamba Bosi wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari, leo hii jijini Madrid, Hispania, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Kimataifa la Huduma za Anga na...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Leo Machi 29, 2018 Taasisi ya Twaweza imezindua ripoti yake ya Utafiti wa Sauti za Wananchi awamu ya 25, ambapo umeonesha kuwa taarifa zinazotolewa na wabunge wa vyama vya upinzani zinaaminika kwa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyo jamaa ni mtangazaji wa BBC Swahili. Ningependa kwa anayemfahamu ni mtu wa wapi na wasifu wake kwa ujumla. Maana kwa kazi nzuri na yakupendeza aliyotumwa kuifanya ni wakati sasa wa kumpa...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Aibu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya ndoa ya denti wa kidato cha pili wa Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete, Tunu (16) kushindwa kufungwa baada ya polisi kuvamia kwa madai kuwa bibi yake...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MAONI YANGU KWA MGOGORO WA WASANII HASA DIAMOND NA WIZARA YA HABARI UTAMDUNI SANAA NA MICHEZO Naomba nitangulize shukrani zangu kwenu wote wadau wote habari utamaduni na michezo Pia nieleze...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Atm karibu zote za crdb town hazifanyi kazi.......vipi hamtaki twende bar leo au? it's very very frustrating [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Niambieni wadau. Nasubiri mnipe comment; niko sahihi au?
2 Reactions
56 Replies
6K Views
(1.) Mshahara wako hautakutajirisha. Maana bosi wako sio mpumbavu wa kiwango hicho. (2.) Mshahara wako umepangwa ili kutosheleza mahitaji yako ya kila siku na hata ukizidi, hauwezi kukufaa kwa...
13 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni dhahiri shahiri kuwa tangu uongozi huu wa awamu ya tano uingie madarakani,watumishi wa umma wamepata wakati mgumu katika utendaji wao wa kazi na maslahi yao Tangu kisingizio cha ukaguzi wa...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwanini katika serikali hii hakuna mawasiliano baina ya viongozi katika utendaji wa shughuli zao? Tumeshuhudia mikanganyiko mingi baina ya wizari moja na nyingine baina ya idara na idara lakini...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…