radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
What if asingeongea lolote/kutoa tamko la wenzake kufungiwa..
Je Roma bado angefutiwa adhabu? Je tungekua tayari ‘kukaa’ na kuongea?
Hail Chibu! We are thankful. [HASHTAG]#Wasafi[/HASHTAG]
Tukubali tu kwa sasa jamaa ana nguvu ni ngumu kumshusha kwa sasa njia zikifunguka huwa mwanadamu kuzuia ni shida naonaga humu watu huchukulia simple tu mambo yake