Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Wazo limenijia.
Kumekuwapo na matukio mbali mbali ya kihalifu ambayo scene zake huishia juu juu bila uchunguzi wa ndani zaidi kufanyika, watu wengi wamefungwa kwa masingizio ya ushaidi,pamoja na kesi nyingi kuamuliwa katika hali ya kawaida kutoka na ushaihidi kuto kua kamilifu.
Vifo vya watu, matukio ya kupotea watu na mambo kama hayo yamekua yakiendelea bila kuhusisha uchunguzi wa watu na makampuni binafsi.
Najua kwa hili linahitaji sana Gharama kubwa ya vifaa na kupata watu wenye weledi na commintement ya hali ya juu.
----------------------------------
Kwa hatua za awali niliwaza hili:
linalowezekana.Kwa vili itakua ni ya uchunguzi , nikaona ianze namaswala ya kijamii/Cases zinazohusisha Mahusiano./Rralationship.
Kwa wanaofahamu "Cheteers"kipindi kimoja kinaonywesha kwenye Sony kama sikosei.
Hapa nitachunguza Familia ikiwa ni Ndoa na mahusiano yote kwa mwenye kutilia shaka mahusiano yake,kumtengeneza video , picha ,na sound record zote za mwenendo wa Mwenza wake katika maisha ya kila siku.
----------------------------------
Baada ya hili niliwaza kujiongezea na kufika kwenye Maofisi kama hatua za awali,hapa nitagusa watu wanaosimamishwa kazi kwa masingizio,kuwasaidi wamiliki wa makampuni kuchunguza miendendo ya wafanyakazi wake kama ana shaka nao/nae,na mambo mfanano na hayo.
----------------------------------
Binafsi sijui Sheria za nchi zinasemaje juu ya ufunguaji wa Makampuni kama haya na wala sina hakika kama tayari ipo "Private Investigation Coy" kwa nchi yetu.
Nimeona kushea wazo ili kupata wigo mpana zaidi wa uwelea juu hili kutoka kwa wadau.
Naomba kuwasilisha.