I appreciate the love, you are far too kind.
Kilatini kina msemo "
nanos gigantum humeris insidentes". This roughly means ""dwarfs sitting on the shoulders of giants".
Its most familiar expression in English is by
Isaac Newton in 1676: ""If I have seen further, it is by standing on the shoulders of giants."
[2]
https://en.wikipedia.org/wiki/Standing_on_the_shoulders_of_giants
Mimi sijifikiri kama mtu mwenye uwezo wowote wa zaidi ya kawaida, ila nimepata bahati ya kulelewa na wazazi waliopata nafasi ya kusoma kidogo na kuweka mkazo katika kufanya kazi na kujisomea.
Nimesoma the important classics. From Euclid's "
The Elements of Geometry" to Galileo's "
Dialogue Concerning Two Chief World Systems" by the time I was 16. By 19 I had graduated to things like "
The Philosophy of Religion: An Anthology" and "
A Brief History of Time". Just to mention a few of my favorites, I am not even getting to more of the science titles, but you get the gist.
Zaidi ya kusoma tu, ninayosoma nayatumia kila siku katika mazungumzo, maandishi, matendo au fikra, kwa hiyo siyasahau kirahisi. Ndiyo maana utakuta sikosi cha kuchangia na nakuwa na maneno mengi sana, kwa sababu nikisoma kitu nakiunganisha na experiences zangu na natoa ninachofikiri kwa kuangalia mbali sana.
Kwa hivyo tangu mdogo nimekuwa nikijitahidi kusoma mambo mengi sana katika majarida, vitabu, mitandao mbalimbali etc na kuwa na utashi mpana kuliko wenzangu wengi. Na nimekuwa sikosi kirahisi kukumbuka na kuunganisha mambo. Ndiyo maana hata posts zangu ukisoma utakuta zina anecdotes za mambo kibao niliyopitia, vitabu kibao nilivyosoma, documentaries kibao nilizoangalia, sinema, muziki, mashairi, mazungumzo na watu kuanzia wazee wa vijijini, washauri wa marais, watoto wa first families na tabaka zao, walevi wa Manzese kwa Mfuga Mbwa, watawa wa kikatoliki na ki Buda, waandishi wa vitabu kuanzia vya maisha ya awali ya Nyerere (Dr. Thomas Molony) mpaka wa String Theory (Dr. Brian Greene)
Kwa hiyo, kwa kuwa nimetumia muda mwingi kufuatilia mambo mengi, naturally naweza kuonekana kama nina akili sana.
Actually the entire concept of IQ is highly dubious. I was just helping an ex girlfriend finish her Ph.D in Clinical Psychology and we discussed this immensely.It seems that among professionals and the smart set in the field, the entire IQ idea is so quaint it is right up there with Freudian interpretation of dreams.
So thanks for the compliment.One probably can't begin to grasp half the things I wrestle with if one was dumb, but I would resist putting much credence to the IQ idea.
It is just a shorthand for a very complex idea which we are just beginning to understand.The measurement of the different intelligence(s) we have.