Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejiandikisha katika kijiji cha Bungoma, kata ya Mkindo, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro. Nahitaji kufaham ni lini tunavipata vitambulisho vya taifa? Maana nahitaji kusafiri kuelekea nnje...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Yesu Kristo alidhihirishwa ili azivunje kazi za shetani. Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Mtu haendi kwa Mungu ila kwa njia ya Yesu. Aliuchukua udhaifu wetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, na kwa...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Kuna hili gazeti lenyewe haliguswi na maadili ya uandishi wa habari wala sheria ya vyombo vya habari, wanaandika tu wanavyoona inafaa...Tanzania ya Magufuli haipendezi hakika Kangura la Rwanda...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
UKITAZA MALENGO YAKO UNAONA NINI? Unapotazama na kufikiri juu ya NDOTO na MALENGO yako unaona nini? Ni maswali gani yanakujia kichwani kwako unapoitazama ndoto yako? Je wewe ni mmoja kati ya watu...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Habari ya pilika wana JF wenzangu Leo Tarehe 30/03/2018 naomba mnisaidie kupaza sauti ya kilio cha wakazi wa mjini kasulu kama walivyonitonya Kumekuwa na Jambazi mmoja raia wa Nchini Burundi...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
VIONGOZI WA DINI KUINGIA WOGA HATA KUSEMA UONGO*. Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao na sakramenti ya Daraja...
10 Reactions
30 Replies
7K Views
Kipindi hiki nyimbo zinazotamba ni bolingo+Remi ongara Enzi zile MTU akiumwa kila MTU anajua Familia nyingi ziliteketea Wachache sana walinusurika wengi walikufa kipindi kile...ukiupata lazima...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo kuna mkutano mkuu wa BAKWATA kule Dodoma ambapo mambo mbalimbali yatazungumziwa Waziri huyo wa TAMISEMI anahutubia juu ya mambo mema yaliyofanywa na serikali yetu.Mambo hayo aliyosema hakuna...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Rejea tu kichwa cha Habari hapo juu na karibu katika " kutiririka " tafadhali.
3 Reactions
137 Replies
38K Views
Naomba kujua kampuni ya i pay machine imekufa? Ofisi zao zipo?
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Amani iwe nanyi wanaJF Nimeishi Morogoro kwa miaka mi3 enzi hizo nasoma chuo kikuu Sokoine(SUA) miaka ile nikiri tu kwamba hali ya hewa ya morogoro mjini ilikua safi sana Hivi majuzi nimerudi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya Wananchi wa mtaa Nyakabale Kata ya Mgusu kwenye halmashauri ya mji wa Geita ,wamegoma kuuzika mwili wa Bw ,Zacharia Shaban na kuutelekeza nyumbani kwa Mwenyekiti wa mtaa huo, Bw Elias...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari wana Bodi. Nimeona ni vema nikiweza lisemea hili, labda linaweza toa ufumbuzi na unafuu kwa watu wengine pia. Swala la manunuzi kwenye mitandao, inabidi litazamwe kwa jicho angavu maana...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Ilikuwa meli ya ki british ya kusafiria abiria ambayo ilizama kaskazini mwa bahari ya atlantic 15 april 1912 ikitokea southampton kwenda new york city Kulikua na abiria takribani 2224 na...
13 Reactions
49 Replies
7K Views
Shirika la Kimataifa la idadi ya watu -UNFPA- limesema idadi ya vifo vya mama na mtoto vinavyotokana na uzazi hapa nchini imeongezeka hadi kufikia vifo 556 kwa kila vizazi hai laki moja kutokana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za jioni wakuu? kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya Mtunza hazina (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Umuofia kwenu, niende moja kwa moja kwenye mada, nimeona press conference mbili moja ya kamanda Mambo now nyingine ni huyu bwana Musiba, wahusika wa press walizungumza vitu ambavyo kuna maswali...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Mara kwa mara nimekuwa nikiripoti kuhusu hali ya usalama barabarani nyakati za usiku kwa upande wa Tanzania bara lakini mara zote nimekuwa nikipingwa kwa madai kuwa haiwezekani maeneo hayo...
16 Reactions
53 Replies
7K Views
Huyu mama kama amepita sehemu zote za huduma ya afua na kuonekana mtoto hana kitu chochote ambacho ni ugonjwa kutokana na mtoto kuwa na nguvu nyingi sana kiasi cha kukuweza kujeruhi watoto wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Long Island New York mwaka 1999 Tarehe 2, mwezi wa 9 mwaka 1999 nyakati za jioni, askari mpelelezi kwa miaka kumi na moja wa kitengo cha polisi kinachohusika na kesi za mauaji Bwana Brian Parpan...
8 Reactions
45 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…