Happy Easter to All.

Happy Easter to All.

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,899
Yesu Kristo alidhihirishwa ili azivunje kazi za shetani. Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Mtu haendi kwa Mungu ila kwa njia ya Yesu.

Aliuchukua udhaifu wetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Jina la Yesu Litukuzwe milele.


 
Back
Top Bottom