Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makonda alisema hatua hiyo imefikiwa na wanasheria na maofisa ustawi wa jamii baada ya kuhoji wanaume waliodaiwa kuwatelekeza watoto, katika malalamiko yanayoendelea kutolewa na wanawake kuanzia...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Inasikitisha kila kukicha tunasikia watoto wa kike wenye umri mdogo wakiendelea kubakwa duniani. Kwa mfano mtoto wa kike wa miaka 8 aliebakwa juzi kwa siku 8 ndani TEMPLE
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Vyombo vya Habari nchini, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, na Muungano wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa pamoja wamewasilisha malalamiko dhidi ya Sheria ya Huduma za Habari namba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAISHA ya mwanadamu ni siri ya Mola wake na akiamua kuyakatisha, basi hakuna mwanadamu wa kubisha! NDOTO ZAYEYUKA Ndivyo ilivyotokea baada ya kuyeyuka kwa ndoto za bwana harusi mtarajiwa...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
TANGAZO Mkurugenzi wa Mji wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ana wataka wananchi wote walio panda zao la Mahindi na Alizeti wayafyeke kuanzia tarehe 9/04/2018 hadi 15/04/2017 endapo hawatafanya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana, unamkuta Mtu kaamua kabisa kutangaza Vita dhidi ya Serikali basi unafikiri kajipanga kumbe hamna kitu. Mfano yule Mkenya Miguna mpaka akaanzisha kundi la uasi lenye lengo la...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu kisha karibu katika utiririkaji na usererekaji wako. Kuna tofauti kubwa sana naiona kati ya Walinzi wa Marais Trump, Putin pamoja na Waziri Mkuu wa Israeli...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
karikoo hakuna umeme toka mchana mpaka mida hii ===== SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA KWA WATEJA WETU WALIOUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)...
0 Reactions
285 Replies
22K Views
Hello JF, Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana; Ni culture ya kujisomea vitabu, Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaandika Daktari Mpya mtaani aliyemaliza mafunzo ya utaraji (internship). "Jina kubwa" kuliko wallet. Unakutana na classmate wako wa o level anakuita kiongozi, mkuu, kamanda na anaenda maili...
32 Reactions
170 Replies
24K Views
Binadamu wengi wamejaa ubaguzi tu ....Mfano misikitini na kanisani ...utakuta wanahubiri Kusaminiana kwa mtu aliyenacho na asiyenacho . Yaan tajili kwa maskini. Lakin cha Ajabu wale wenye Fedha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa matangazo ya Azam TV yenyewe , tena bila kulazimishwa na mtu yeyote kifurushi cha Tsh 28,000 ndio kinatajwa kama kifurushi cha juu zaidi na cha mwisho , huko chini kuna 23,000 na...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za saa hizi, Naomba kujua kwa mwenye kufahamu, hivi kuna uhusiano gani mtu anapohisi harufu mbaya na kutema mate? Naomba ufafanuzi
3 Reactions
16 Replies
46K Views
Kati ya chanjo na elimu juu ya sababu za saratani za akina mama kipi kinafaa zaidi? Hizi ni biashara za watu kuuza bidhaa zao Ulaya ndo maana hapa elimu haitakiwi kutolewa, tunalazimishwa...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Nilikuwa njiani leo barabara ya Iringa-Mbeya nimepishana na Malori zaidi ya Kumi na tano (15) ya GSM yakiwa yamesajiliwa kwa namba za Zambia lakini chata ndo ileile ya kwao kabisa. Sasa mnisaidie...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimewaza na kufikiria mbali sana hadi kupelekea kuamini kwamba huenda kwa ' Utendaji ' huu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda kukawa kuna aina mpya ya ' Ugonjwa ' ambao umejibanza /...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Ukipiga simu kama unayempigia hapatikani kuna sauti inayokwambia Samahani mteja unayempigia hapatikani kwa sasa.Dada aliyerekodi hilo tangazo huyu hapa.
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Kwanza napenda kumpongeza sana rais wetu mstaaf JK kwa kuendelea kuonesha ari kubwa ya kusaidia jamii ya watanzania kupitia maono aliyonayo ndani ya taasisi hii kubwa aliyoizundua jana pale ikulu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…