Kwanini mnajaribu ku-criticize vitu msivyo na chembe ya ujuzi navyo?Kati ya chanjo na elimu juu ya sababu za saratani za akina mama kipi kinafaa zaidi?
Hizi ni biashara za watu kuuza bidhaa zao Ulaya ndo maana hapa elimu haitakiwi kutolewa, tunalazimishwa machanjo kila uchao ili kutajirisha watu
Elimu ni sawa lakini matokeo ya Elimu hiyo yanaweza kufanya kazi katika kipindi cha miaka kadhaa na sio kwa 100%.Kati ya chanjo na elimu juu ya sababu za saratani za akina mama kipi kinafaa zaidi?
Hizi ni biashara za watu kuuza bidhaa zao Ulaya ndo maana hapa elimu haitakiwi kutolewa, tunalazimishwa machanjo kila uchao ili kutajirisha watu