Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Oparesheni Barakuda “Hillary Clinton alipotembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu Kongo (DRC) Agosti, 2009 aliwashangaza raia wa Kongo alipowaambia wasahau yaliyopita wasonge mbele. Swali ni...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkutano wa amani ulioandaliwa na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini chini ya Sheikh wa mkoa Alhad Mussa Salim kama Mwenyekiti wa Kamati, umefanyika leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Viongozi wa jumuia ya madola wanakutana London yafuatayo ni mambo saba ya kufahamu: 1) Karibu theluthi ya watu duniani ni wanachama wa Jumuia ya madola. Takriban watu bilioni 2.4 kati ya bilioni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka tufahamishane kwa wale wote waliowahi kuwa mandondocha au ndugu zao waliwahi kupitia kwenye hali kama hiyo, Mpaka leo hii kuna waganga na wachungaji mbali mbali wenye kusema wana uwezo wa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
nimegundua kuwa kinachotufanya vijana tusiendelee ni kukosa uthubutu. katika hali yakustaajabisha kabisa mzee mmoja hapa mtaani kwetu maarufu kwa jina la Mhina amefanikiwa kufungua kiwanda chake...
7 Reactions
26 Replies
8K Views
Iliandikwa mwaka jana... Ndugu zangu wa Tanzania, poleni kwa mafuriko. Hii ni mara ya pili nalazimika kufafanua tatizo la mafuriko, na umuhimu wa watu kuamka na kujua kwamba huu ni mwanzo tu na...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Ilitokea kama miezi 4 nyuma,Gari zilizokua parking katika majengo yao pale jangwani ziliingiliwa mafuriko Na kusababisha hasara kubwa Sijui viongozi hawakujifunza lolote kwa hasara ile hadi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka mingi iliyopita nilikutana na January Makamba, sehemu moja Mikocheni pale kulikuwa na Club ya kusoma vitabu. January Makamba alikuwa amealikwa ili aje afanye uchambuzi wa riwaya moja hapo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kufuatia mvua iliyonyesha Jana kuanzia saa nane na kumi na mbili mpaka saa mbili usiku, imesababisha usumbufu kwa watu wa Mbezi ya Kimara, hakuna usafiri wa kwenda mjini, Muhimbili na Karikoo...
1 Reactions
104 Replies
17K Views
Nasikia malalamiko ya kampuni hii katika mitandao ya kijamii kuhusu hii kampuni ya mafuta ya Lake Oil lakini walalamikaji hawasemi taarifa kamili bali kusema tu mmiliki wa kampuni amekimbia nchi...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Salaam. Juzi hapa tumeshuhudia makonda akipokea wakina mama na wadada wengi wenye watoto zao kwa madai baba zao wamewatelekeza.....na wamefika hapo kwa wito wa Paul Makonda. Ni jambo zuri sana...
11 Reactions
95 Replies
10K Views
Nimejalibu kuangalia hii hali ya hewa nikaona nivizuri nitoe ushauri kwa wanaopanda mbegu msimu huu, nivizuri ukaangalia kipato chako kwanza usije ukafurahia kupanda mbegu badae wakati wa kupalia...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaonya akina mama wanaoanza kukana taarifa za kutelekezwa na wazazi wenzao ama wazazi wao ambazo walizitoa ofisini kwake wakati wa zoezi la...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu, Hili zoezi la kubomolea waishio mabondeni mie naliunga mkono, hata kama nitaonekana kituko mbele ya baadhi ya wadau. 1997/1998 nilikuwa nasoma sekondari hapa Dar hivo elnino niliiona Kwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Hivi kweli wanazuia pesa zetu wakidai kutengeneza utaratibu mpya wanaodai utatusaidia, halafu hata dalili za huo utaratibu mpya kufanya kazi hauonekani. Ukiwauliza Eti bado wanasubiri maelekezo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wapendwa Nimeona vyema kufungua uzi huu kwa ajili ya kukumbushana habari za Yesu naomba mwenye mafundisho ya Kristo au mistari ya Biblia apost Mbarikiwe sana wapendwa Kitabu cha...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumeona chini ya Tundu Lissu TLS ikijenga mjengo wake kwa vipato vitakanavyo na malipo ya wanachama. Kwanini Tundu Lissu hakuweza kusimamia CHADEMA nacho kijenge ofisi yenye hadhi yake kutokana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
[emoji15] [emoji42]
1 Reactions
0 Replies
841 Views
Wiki iliyopita nilipanda gani moja kubwa katoka Dar kwenda Morogoro nikiwa kweny gar nilishuhudia Askari polisi sehemu moja inaitwa Mwanga check point kijana mmoja Askari akipokea RUSHWA ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilipokuwa nachukua kozi ya ualimu kwenye somo la saikolojia nilijifunza kitu kinaitwa vurugu za kimaono.... Nikalielewa sana hili somo ambalo baadae nilikuja kujifunza kwa kina zaidi Naamini kwa...
19 Reactions
71 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…