tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Nasikia malalamiko ya kampuni hii katika mitandao ya kijamii kuhusu hii kampuni ya mafuta ya Lake Oil lakini walalamikaji hawasemi taarifa kamili bali kusema tu mmiliki wa kampuni amekimbia nchi na kukimbilia China na hata anataka kuhamisha kampuni yake kibiashara kwa nchi jirani ya Kenya kisa kutoelewana na baadhi ya Maafisa kutoka Serikalini.
Sasa tatizo ni haya maneno maneno tu ambayo bila ukweli yanaonekana na maneno ya mitaani tu hebu wenye ukweli wenyewe wauweke hapa kila mtu ajue.
Tatizo ni nini kama kweli amekimbia nchi?
Kama kuna tatizo ni tatizo gani hilo katika kampuni?
Kama kweli anahamisha biashara nje ya nchi, sababu ni zipi?