Nchi yangu Tanzania haiyumbishwi

Nchi yangu Tanzania haiyumbishwi

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,896
Reaction score
9,803
Bora uwe masikini lakini uwe na amani kuliko Kuwa tajiri ukawa hauna amani,..

Na amani ikitoweka kurudi ni kazi sana hakuna atakae Kuwa na imani miongoni mwao ambao sasa wana onekana Kuwa pamoja.

Hebu fikiria Libya ilivyokuwa wakati ule na baada ya machafuko..

Vijana Tuache mteremko, mteremko ndio unaosababisha ujinga, ndio maana humu watu walishauriwa kuanza biashara ya kudownload pesa lakini angalia sasa kila mtu anamlaumu yule alie shauri wakati ule ukitoa neno unatukanwa..

Ndivyo ilivyo sehemu nyingi duniani, sasa wananchi tubadilike hicho kidogo ulicho nacho kitunze, kithamini maana baadae hutaweza pengine kukipata kabisa...

Ya kuambiwa changanya na zako kisha fikiria dhana ya BAFU lilivyo.

SERIKALI IPO IMARA HAITAKUBALI KUYUMBISHWA NA KIBARAKA YEYOTE YULE WA NDANI YA NCHI AU NJE YA NCHI, TUMEJIPANGA KWA ZAIDI YA MIAKA HAMSINI KUENDELEA KULINDA AMANI YETU.
 
Kwanza nani kasema anataka kuivunja amani?

Hiyo amani unayoisema ni ipi mbona watu wanauwawa hamsemi, kujitia kuna amani wakati nyuma mmeshika mapanga, najua mkuu unatetea ugali wako kwani uliajiriwa na 0 ya olevel so ni lazima upambane kulinda ugali wako,

Alafu unasema umejipanga zaidi ya miaka 50, unauhakika utaishi hiyo miaka, au unajiona duniani umefika, kumbuka kuna kifo mkuu madaraka ni ya muda tu yana mwisho, so usijisahau

Alafu hamna mtu aliyesema anavunja amani nashangaa hayo maneno yako yanatoka wapi
 
wale wanaopigapiga kelele 2020 wataisoma namba ! halafu watakimbilia pa kukimbilia huko wanako kujua :

Wakiwa huko huko tutawapa UBALOZI huko tumalize kelele kabisa Tumechoka.
 
Kwanza nani kasema anataka kuivunja amani?

Hiyo amani unayoisema ni ipi mbona watu wanauwawa hamsemi, kujitia kuna amani wakati nyuma mmeshika mapanga, najua mkuu unatetea ugali wako kwani uliajiriwa na 0 ya olevel so ni lazima upambane kulinda ugali wako,

Alafu unasema umejipanga zaidi ya miaka 50, unauhakika utaishi hiyo miaka, au unajiona duniani umefika, kumbuka kuna kifo mkuu madaraka ni ya muda tu yana mwisho, so usijisahau

Alafu hamna mtu aliyesema anavunja amani nashangaa hayo maneno yako yanatoka wapi
Sina mamlaka yaku judge mtu huyu ana zero au la kama unajiona wewe umesoma basi unajua malengo ya kuanzishwa elimu ni yapi kama hujui malengo ya kuanzishwa elimu basi hatakama una first class ni sawa na bure isitoshe huwezi shindana na mimi hata katika u smart wa akili na usijaribu kutoa point mfu kwa mtu usiye mjua ni heri uijue saikoljia yake ndio utoe point zako..

Kwa maana hiyo unataka uandamane ili upewe cheo au vip? Nakushauri Muda huo nenda kafikiri namna ya kuikomboa familia yako kwa solution ya kudumu..

The rest rudia kusoma nini nimeandika.
 
Amani italindwa kwa gharama yoyote.

ujinga wa vijimaandamano feki wapeleke huko kwa waliowatuma.
 
Back
Top Bottom