DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,368
- 83,381
NAANDIKA owomkyalo KIPI NI HATARI KATI YA BANGI NA TUMBAKU ?
31 May kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kuacha tumbaku! Wataalamu wa afya hutumia sikuhiyo kuainisha madhara yatokanayo na tumbaku!
Mbayazaidi nikwamba hata wasio tumia tumbaku ni wahanga wa madhara hayo!
Kwa mf. 32 % ya saratani zote ktk taasisi ya saratani na hospital ya taifa Muhimbili hutokana na tumbaku.
Ni 14 % tu ya watanzania wanao tumia tumbaku lakini 24.9 % huvutishwa moshi wa tumbaku bila kutaka wakiwa ktk shughuri zao 7,000,000 hupoteza maisha kila mwaka wengiwao wakitokea ktk nchi masikini.
Je, Mh.Rais bangi unazitolea uvivu tena kwa mkazo kwamba ikibidi kijiji kizima kikamatwe tangu mzee mpaka mtoto waka ifyeke, Vipi kuhusu kuteketeza na mashamba ya tumbaku sanjali na kukifunga kiwanda cha sigara Dsm?
Tbs ni mashahidi tosha kwamba nicotin iliyomo ktk sigara inatosha kuua nguvukazi ya taifaletu!
Tusithamini pesa za damu ya watotowetu na kukumbatia vitu hatarishi huku tukijifanya wakali kwa shamba la bangi ambayo inaweza kuliwa kama mboga! huko Jamaica.
Take time to think is the sorce of power