Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,662
Wana JF wenzangu, nimekuwa nikijiuliza kuhusu swala la mita ya umeme kwamba mteja anapoinunua inakuwa mali yake au ya TANESCO?
-Kama ni mali ya mteja anaruhusiwa kuiuza, kuiharbu, kuigawa, kuifungia ndani pindi anaposhindwa kumudu gharama za matumizi?
Ukiona mita yenyewe imeandikwa ni mali ya shirika (TANESCO) sasa kwanini mteja asipewe bure? Kwani luku anayonunua mteja huenda wapi? Naomba kueleweshwa juu ya sheria hii.