Habari wana JF
Nimewaza kwa maandishi wakati wa makuzi yangu zilikuwepo hadithi za sungura na fisi (hadithi fupi fupi zenye mafunzo au maana fulani hivi kwa watoto na watu wazima).
Kwa bahati...
Martin Luther Mwanamapinduzi na mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki...
Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya.
Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri.
Naitwa Francis Jackson...
Christina Thomas (28), mkazi wa Sitakishari Dar es Salaam amekataa kudhaminiwa ili arudi rumande na msichana wake wa kazi ambaye alishindwa masharti ya dhamana. Christina jana alifikishwa Mahakama...
Maisha ya shule yapo tofauti sana mtaani. Wengi tumesoma 'combinations' za' Sayansi kwa mkumbo au sifa. Mijitu iliyochukua masomo laini laini ya Arts /Lugha ama Biashara iko mbali sana kimaisha na...
Marijuana growth legalised in Zimbabwe, for medical purposes. Zim joins Lesotho making cannabis cultivation OK and taking African lead in valuable marijuana market. With 5-year licence you can...
Waganga wawili wa tiba mbadala na watu wengine watano wanashikiliwa na polisi wilayani Igunga mkoa wa Tabora, kwa tuhuma za kupiga ramli chonganishi na kuchoma moto nyumba tatu
Kutokana na...
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena...
Muda huu nimeingia katika vyoo vya Muhimbili vilivyo jirani na eneo la kutokea magari,nje ha vyoo hivyo nimekuta umati mkubwa wa watu hususanwanawake.
Wote wamejipanga kuingia vyooni na jengo la...
Habarini Wadau
Hii taarifa nimeipata wiki iliyopita kuwa walizembea kwa kushindwa kutoa taarifa na kusimamia mrejesho kwa Katibu Mkuu utumishi Taifa, kuhusu watumishi waliopaswa kurudishwa katika...
Wakuu nimemsikiliza huyu Rais wa TLS baada ya Tundu Lisu akiongea kuwa Nchi yetu haina uhuru wa Kujieleza ama kuhoji.
Nikatafakari kidogo huyu Binti ni Mtoto wa Aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar...
Naandika maelezo haya nikiwa na hasira zilizochanganyikana na HURUMA.
Nafikiria wakati mwingine polisi hawa si binadamu au pengine hawana huu mwili wa nyama wenye uhai kama mvuke au ua la kondeni...
Habari zenu wadau,
Ni siku yangu ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi.
Kwa wale wanaotamani kufika Mwanza ambalo lish tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina...
Hamisi sio jina la kiislamu kama baadhi ya watu wanavyo fikiri..Hamisi ni jina la kiswahili linalo maanisha aliye zaliwa Alhamisi.Ndio maana ukienda usukumani huko unakutana na wakristo wengi sana...
Jeshi la polisi lipo kimkakati kukwepa kuwa wao ndiyo wauaji wakuu wa Suguta aliyechomwa kisu na askari wa doria.
Wanadai askari alikuwa na ugomvi binafsi na marehemu suguta wakasahau kuwa...
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango...
Habari wakuu,
Moja kwa moja nianze na mada husika hapo juu.. jana ilikuwa ni semina ya Mwl. Mwakasege kwa wanaume wote pale mbezi beach KKKT. Nami nilikuwepo kwenye hiyo semina na kuna mambo...