Akili za Lipumba zinaanza kurudi msikilize Azam 2 live now

Mwalimu wako hajafikia kiwango Cha Elimu Cha kukalisha Kalio katika Darasa analofundisha Prof Nguli ije kuwa Wewe?
Lipumba amedhihirisha mswahili siku zote ni mtu wa hovyo sana hata asome vipi!! Lipumba hana tofauti na mtu ambaye hajakanyaga kabisa darasani.
 
Lipumba amedhihirisha mswahili siku zote ni mtu wa hovyo sana hata asome vipi!! Lipumba hana tofauti na mtu ambaye hajakanyaga kabisa darasani.

Mtu wa Hovyo ndio aliwaongoza hao Wajanja wako kubuni 'Ukawa' mnayojitambia Na ndio huyo huyo aliwatoa Bungeni
 
Back
Top Bottom